"Wokovu Hauuzwi", "Binadamu Hauzwi" na "Uumbaji Hauuzwi"

 • diaconia
  Diakonia

  Kituo cha Kilutheri cha Diakonia Mtoni kinashugulika na watoto wenye ulemavu wa akili. Kwa sasa kituo kinawahudumia watoto 76. Kituo cha Kilutheri cha Diakonia Mtoni S.L.P. 837 Dar es salaam SIMU: +255 22 2856821 Email: mtonideac@elctecd.org

  Soma zaidi →
 • edu
  Elimu

  Dayosisi ina baadhi ya taasisi za elimu, kati ya hizo Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es Salaam, Shule ya Sekondari Mbwawa, Seminari Ndogo ya Kilutheri Kisarawe na Shule ya Sekondari ya Wasichana Mkuza.

  Soma zaidi →
 • health
  Afya

  Huduma za kijamii zinazotolewa na Dayosisi ni Idara ya Utabibu na Huduma za Jamii; Zahanati 7 za Kisarawe, Maneromango, Mjawa, Mtoni, Mwalusembe, Sangwe na Zanzibar; mradi wa UKIMWI unaolenga yatima, wajane, waathirika na familia za waathirika. Huduma zinazotolewa ni ushauri, kuwezesha na kuwapatia misaada (chakula na nguo). Mkurugenzi: Dkt. Godfrey Mushi Mtoni kwa Azizi Ali […]

  Soma zaidi →
Hati miliki © 2012 KKKT - Dayosisi ya Mashariki na Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.