Zanzibar District

ELCT – ECD: Zanzibar District

District Pastor
Rev. Shukuru Maloda
P.O.Box 872 Zanzibar
Email: zdis@elctecd.org

Jimbo hili linaongozwa na Mch. Shukuru Maloda. Licha ya kuwa eneo la Misioni lakini bado idadi ya wakristo inakua ikilinganishwa na miaka ya nyuma.

Takwimu zinaonyesha idadi ya washarika wapya kwa mwaka 2016 walikua 1,007 wakati mwaka 2014 walikua waumini 968. Kwa darasa la kipaimara mwaka 2015 walibarikiwa wanafunzi 28 wakati 2014 wanafunzi waliobarikiwa walikua 25. Pia kwa Shule ya jumapili kwa mwaka 2016 wanafunzi walifikia 504, tofauti na 410 mwaka 2015.

Parishes 1 Mwanakwerekwe 2 Kwahani 3 Mwakaje 4 Kivunge 5 Ngerengere
Sub-Parishes 1 Dunga 2 Kombeni

Copyright © 2012 ELCT - Eastern and Coastal Diocese. All Rights Reserved