Western District
ELCT – ECD: Western District
District Pastor
Rev. Jacob Mwangomola
P.O.Box 30023
Dar es Salaam
Email: wdis@elctecd.org

Mch. Jacob Mwangomola ndiye Mkuu wa Jimbo hili na anasema kuwa kazi ya kuimarisha Injili inaendelea lakini bado wanawajibu wa kuongeza juhudi kwa kuwa bado yapo maeneo hawajayafikia.

"Uinjilisti tunaufanya, lakini hatuwezi kufanya Uinjilisti bila ya kuweka alama ya Jengo ili hata tunapoondoka eneo hilo tuhakikishe watu wana mahali pa kukutania na kuabubu."

Katika eneo la kukuza uchumi Jimbo la Magharibi wanaendelea kushika maeneo ya Uwekezaji kwa kununua ardhi na kuendeleza baadhi ya maeneo kwa kujenga nyumba za Ibada na ya Kibiashara, ili Jimbo Kupunguza makali ya kutegemea Sharika na hatimaye kujitegemea.

Darasa la kipaimara kwa mwaka 2015 walibarikiwa wanfunzi 2,890 tofauti na mwaka 2014 ambapo walikua 2,330. Kwa upande wa Shule ya Jumapili mwaka 2016 kulikua na wanafunzi 12,475 wakati 2015 walikua 15,005. Idadi ya washarika wapya ilikua 23,860 kwa mwaka 2016 na 21,396 kwa mwaka 2014

Parishes 1 Tumbi 2 Mbezi Lius 3 Maili Moja 4 Mlandizi 5 Mkuza 6 Kibamba 7 Kiluvya 8 Kimara 9 Msewe 10 Temboni 11 Gide 12 Kimara B 13 Mavurunza 14 Makabe 15 Matosa 16 King’ongo 17 Soga
Sub-Parishes 1 Kibwegere 2 Sofu 3 Malamba Mawili 4 Misungusugu 5 Kidimu A 6 Mwendapole 7 Neema 8 Mbopo 9 Zogowale 10 Visezi 11 Visiga 12 Boko Mnemela 13 Miembe Saba 14 Golani 15 Msigwa 16 Mloganzila (Amani) 17 Pangani 18 Kongowe Nazareth 19 Mwanalugali 20 Kilimahewa 21 Msumi 22 Tondoroni 23 Nyumbu 24 Luguruni 25 Saranga 26 Kibesa 27 Kongowe Forest 28 Bwaloni 29 Msakuzi 30 Ruvu Darajani 31 Viziwaziwa 32 Mbuyuni 33 Kengeni 34 Kwala 35 Mpigimagohe 36 Milenia 37 Kwembe 38 Vikuge 39 Nafco 40 Peramumbi 41 Kisambi 42 Makurunge 43 Kidimu B

Copyright © 2012 ELCT - Eastern and Coastal Diocese. All Rights Reserved