Southern District

ELCT – ECD: Southern District

District Pastor
Rev. Andrew King’omela
P.O.Box 4521
Dar es Salaam
Email: sdis@elctecd.org

Mkuu wa Jimbo la Kusini Magharibi, Mch Andrew King’homella amesema Mkutano Mkuu wa 33 umeonyesha nia ya dhati kwa wajumbe kusaidia kuimarisha eneo la elimu kwa Dayosisi haswa Shule ya Sekondari ya Shine ambayo ipo katika Jimbo analoliongoza.

Mbali na Shule ya Shine, pia Jimbo limeakikisha kukuza elimu ya Kikristo, pamoja na kuongeza nguvu katika kueneza Injili na kufanikiwa Mitaa maeneo ya Misioni ambapo injili haijafika.

Mwaka 2015, wanafunzi waliobarikiwa walikua 1205, wakati mwaka 2014 walikua 968. Kwa upande wa Shule ya Jumapili mwaka 2016 walikua wanafunzi 7,219 wakati 2015 walikua wanafunzi 10, 133. Washarika wapya kwa mwaka 2016 walikua 21,257 tofauti na 19,017 wa mwaka 2014

Parishes 1 Mbagala 2 Kurasini 3 Temeke 4 Mtoni 5 Kijichi 6 Kongowe 7 Mjimwema 8 Magogoni 9 Tandika 10 Veterinary 11 Vituka 12 Buza 13 Dovya 14 Yombo 15 Keko
Sub-Parishes 1 Charambe 2 Vikindu 3 Makangalawe 4 Mkuranga 5 Mwandege 6 Toangoma 7 Mkokozi 8 Nzasa 9 Gezaulole 10 Kibiti 11 Kibada 12 Mungaro 13 Nymwage 14 Utete 15 Mafia 16 Marogoro 17 Mkamba 18 Mbagala Kuu 19 Vianzi 20 Mloka 21 Bungu 22 Ungindoni 23 Mwalusembe 24 Kimanzichana 25 Ikwiriri 26 Vijibweni 27 Msorwa 28 Kisiwani 29 Mjawa 30 Kilakala 31 Chamazi 32 Kivinza ‘A’ 33 Malawi

Copyright © 2012 ELCT - Eastern and Coastal Diocese. All Rights Reserved