South West District


ELCT-ECD:South west District

District Pastor
Rev. Goodluck Chagulilo
P.O.Box 28048
Maneromango
Email: swdis@elctecd.org

Jimbo la Kusini Magharibi chini ya Mkuu wake Mch Godlove Chagulilo tayari limefanya utafiti wa namna ya kutunza na kuendeleza injili katika maeneo ya Jimbo ambayo mengi ni Misioni.

“Moja ya mambo ambayo tumeyabaini katika misioni ni kuyaacha maeneo hayo kwa muda mrefu, sasa tumejipanga kuhakikisha tunakwenda mara kwa mara katika maeneo hayo na hili itatufanya kutumia muda mwingi katika maeneo hayo.” Katika hatua nyingine, Mch Chagulilo anasema haoni haja ya kwenda kufanya umisioni katika nchi za jirani ikiwa hapa nyumbani watu wanaangamia kwa kukosa neno la Mungu.

Tunaomba nguvu kutoka majimbo mengine kufanya Uinjilisti katika Jimbo letu, wapo wakristo wanaohitaji Injili na bado hawajafikiwa na ni wengi mno, wanapotea kwa kukosa neno la Mungu Kwa upande wa darasa la kipaimara, mwaka 2015, walibarikiwa wanafunzi 77, mwaka 2014 walibarikiwa wanafunzi 64. Shule ya Jumapili kwa mwaka 2016 kulikuwa na wanafunzi 737 wakati mwaka 2015 walikua wanafunzi 710. Washarika wapya kwa mwaka 2016 walikua 4,289 wakati mwaka 2014 walikua 2,442

Parishes 1 Pugu 2 Kisarawe Mjini 3 Sanze 4 Maneromango 5 Zegero 6 Sangwe
Sub-Parishes 1 Pugu Sekondari 2 Chanika 3 Bangulo 4 Yongwe 5 Mvuti 6 Nzasa 7 Dondwe 8 Tabora 9 Gogo 10 Vigama 11 Kifuru 12 Kisanga 13 Masako 14 Masanganya 15 Msanga

Copyright © 2012 ELCT - Eastern and Coastal Diocese. All Rights Reserved