Northern District
ELCT – ECD: Northern District
District Pastor
Rev. Anta Muro
P.O.Box 90490
Dar es Salaam
Email: ndis@elctecd.org

Jimbo limejipanga kuwajengea uwezo watumishi wake haswa katika eneo la elimu ya dunia na elimu ya kikristo. Mkuu wa Jimbo Mch Anta Muro amesema " Kusomesha watumishi wa Mungu ni njia sahihi za kuongeza wigo wa kuihubiri injilina kufikia maeneo ambayo ni magumu kufikika."

Katika swala ka kujikwamua kiuchumi Jimbo limejipanga na lipo mbioni kufungua kiwanda cha uchapishaji mapema mwakani pia kuboresha na mradi wa ufuaji, kuanza kilimo cha mbogamboga katika shamba la Jimbo.

"Miradi yote hii na mingine ambayo bado iko katika mawazo ya utekelezaji ni moja ya chachu ya kuuza na kuendeleza injili kwa kuwa mapato yatayopatikana yataifikisha Injili mbali" alisema Mch Anta Muro.

Idadi ya Washarika wapya kwa mwaka 2016 ni 33,692 wakati mwaka 2014 walikua 26,794 na ongezeko la waumini 6,898. Darasa la Kipaimara walibarikiwa 1,750 mwaka 2015 wakati mwaka 2014 waliobarikiwa walikua 643. Darasa la Shule ya Jumapili 2016limekua na wanafunzi 5,289 ikilinganishwa na 5,289 mwaka 2015.

Parishes 1 Msasani 2 Kijitonyama 3 Magomeni 4 Kinondoni 5 Hananasif 6 Kawe 7 Mwenge 8 Makongo 9 Wazo Hill 10 Mbezi Beach 11 Kunduchi 12 Boko 13 Sinza 14 Manzese 15 Ubungo 16 Bagamoyo 17 M/Nyamala 18 Salasala
Sub-Parishes 1 Changanyikeni 2 Mabwepande 3 Mbezi Juu 4 Bethania 5 Mikocheni ‘A’ 6 Tegeta ‘A’ 7 Bunju ‘A’ 8 Bunju ‘B’ 9 Ununio 10 Madale 11 Kiswauke 12 Goba 13 Kinzudi 14 Kilimahewa 15 Vikawe 16 Mbezi Ndumbwi 17 Zinga Mbegani 18 Kerege Matumbi 19 Kigongoni 20 Bommaji 21 Kiwangwa 22 Mbweni 23 Mbezi Mtoni

Copyright © 2012 ELCT - Eastern and Coastal Diocese. All Rights Reserved