What we believe

Sorry! This page is at the moment only in Kiswahili available. We are working on this.

Msingi wa imani wa DMP ni ule wa KKKT: kwamba Maandiko Matakatifu ya Agano la Kale na Agano Jipya (BIBLIA) ndiyo msingi wa pekee na sahihi kwa mafundisho na maisha ya kanisa na katika uhusiano wa Kanisa lililo moja Duniani. Maungamo ya Mitume, Nikea, Athanasio na Maungamo ya Makanisa ya Kilutheri, hasa Ungamo lisilobadilishwa la Augsburg na Katekisimo ndogo ya Martin Luther ni maelezo ya kweli ya Neno la Mungu.

Kanuni yoyote inayopingana na Imani hii itakuwa ni batili.

Copyright © 2012 ELCT - Eastern and Coastal Diocese. All Rights Reserved